• HABARI MPYA

  Thursday, April 21, 2022

  CHUJI AHITIMU MAFUNZO YA UKOCHA DIPLOMA D


  MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo (kushoto) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ukocha Kozi ya Diploma D, kiungo wa zamani wa Kimataifa nchini, Athumani Iddi ’Chuji’ wakati wa kufunga kozi hiyo leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHUJI AHITIMU MAFUNZO YA UKOCHA DIPLOMA D Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top