• HABARI MPYA

  Friday, April 01, 2022

  SENEGAL WAPEWA KUNDI A NA KOMBE LA DUNIA QATAR


  MABINGWA wa Afrika, Senegal wamepangwa kundi A pamoja na wenyeji, Qatar, Ecuador na Uholanzi katika fainali za Kombe la Dunia baadaye mwaka huu.
  Wawakilishi wengine wa Afrika, Morocco wapo Kundi F pamoja na Ubelgiji, Canada na Croatia, Cameroon wapo Kundi G pamoja na Brazil, Serbia na Uswisi.
  Tunisia wapo Kundi D pamoja na Ufaransa, Denmark na timu itakayopita kwenye mchujo, wakati Ghana wamepangwa ma Ureno, Uruguay na Jamhuri ya Korea.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SENEGAL WAPEWA KUNDI A NA KOMBE LA DUNIA QATAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top