• HABARI MPYA

    Thursday, April 28, 2022

    TAARIFA ZASEMA MINO RAIOLA AMEFARIKI DUNIA



    WAKALA maarufu wa wanasoka kadhaa wakubwa, Mino Raiola ameripotiwa kufariki dunia.
    Taarifa rasmi zinasema anapambania maisha yake akiwa amelazwa hospitali hali yake ni mbaya.
    Lakini vyombo vya Habari nchini vimesema amekwishariki dunia akiwa na umri wa miaka 45.
    Mino ambaye miongoni mwa wanasoka anaowakilisha ni pamoja na Paul Pogba, Erling Haaland na Romelu Lukaku alipelekwa hospital Januari kwa matibabu ya kawaida.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAARIFA ZASEMA MINO RAIOLA AMEFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top