• HABARI MPYA

  Thursday, April 14, 2022

  MAN CITY YAITOA, ATLETICO SASA KUIVAA REAL


  TIMU ya Manchester  City imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya sare ya bila kufungana na wenyeji, Atletico Madrid usiku wa Jumatano Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid, Hispania.
  Man City wananufaika na ushindi mwembamba wa nyumbani, 1-0 wiki iliyopita bao pekee la Kevun De Bruyne dakika ya 70 na sasa watamenyana na Real Madrid iliyowatoa mabingwa watetezi, Chelsea.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAITOA, ATLETICO SASA KUIVAA REAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top