• HABARI MPYA

  Monday, April 25, 2022

  KIINGILIO YANGA NA SIMBA SH 5,000 JUMAMOSI DAR

  KIINGILIO cha chini katika mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba Jumamosi Uwanja sa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ni Sh. 5,000 kwa mzunguko wa chini.
  Taarifa ya wenyeji wa mchezo, Yanga imesema kwamba viingilio vingine ni Sh. 30,000 VIP A, Sh. 20 000 VIP B. 15,000 VIP C na 10,000 kwa kwa viti vya rangi ya Chungwa (Orange).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIINGILIO YANGA NA SIMBA SH 5,000 JUMAMOSI DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top