• HABARI MPYA

  Wednesday, April 13, 2022

  HUU NI MKWANJA WAKO KABISA NA AZAM PESA


  Mkwanja huu ni wakwako kabisa! Vuta buku na @azampesa kila ununuapo African Fruti. 
  Nunua juisi ya Azam African Fruti Lita 1 aina yoyote ile na ujiwekee nafasi ya kushinda mkwanja na @azampesa.
  Ni simpo:
  1. Geuza kizibo cha African Fruti 1L upate namba yako ya bahati
  2. Piga *150*08# 
  3. Chagua 6 ‘Akaunti yangu’
  4. Chagua 5 ‘Ofa ya kurudisha pesa’
  5. Ingiza ‘namba ya bahati’
  6. Ingiza PIN yako ya AzamPesa
  Usiseme hatujakusanua. 
  @officialbakhresagroup
  #AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUU NI MKWANJA WAKO KABISA NA AZAM PESA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top