• HABARI MPYA

  Sunday, April 24, 2022

  YONDAN NA NABI WAFUNGIWA, REFA YANGA NA GEITA KIKAANGONI TFF


  BEKI wa Geita Gold, Kelvin Yondan amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kumchezea rafu ya makusudi mshambuliaji wa Yanga, Mkongo Fiston Kalala Mayele kwenye mechi ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YONDAN NA NABI WAFUNGIWA, REFA YANGA NA GEITA KIKAANGONI TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top