• HABARI MPYA

  Friday, April 15, 2022

  TFF YAPANGUA KAMATI ZOTE ZA MAREFA


  KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imefanya marekebisho kadhaa katika Kamati za uongozi za Marefa ili kuboresha viwango vyao katika uchezeshaji wa mechi.  Nassor Hamdoun wa Kigoma (kushoto), ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Alfred Lwiza wa Mwanza ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Kutunga Sheria. Mwingine katikati ni Marehemu Said Almasi wa Mwanza pia enzi zao wanachezesha miaka ya 1990. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAPANGUA KAMATI ZOTE ZA MAREFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top