• HABARI MPYA

  Wednesday, April 13, 2022

  YANGA KUCHEZA NA NAMUNGO KABLA YA KUIVAA SIMBA


  VIGOGO, Yanga SC watakuwa na mechi moja zaidi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara wiki ijayo kabla ya kukutana na mahasimu wao, Simba SC mwisho wa mwezi.
  Yanga watamenyana na Namungo FC Jumamosi ya Aprili 23, kabla ya kukutana na mabingwa watetezi, Simba SC Jumamosi ya Aprili 30, mechi zote zikipigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA KUCHEZA NA NAMUNGO KABLA YA KUIVAA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top