• HABARI MPYA

  Tuesday, April 05, 2022

  MOLOKO YUKO FITI KUIVAA AZAM KESHO CHAMAZI  WINGA Mkongo wa Yanga , Jesus Moloko akiwa mazoezini viwanja vya Avic Town, Kigamboni kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Azam FC kesho  Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOLOKO YUKO FITI KUIVAA AZAM KESHO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top