• HABARI MPYA

  Thursday, April 21, 2022

  MAN CITY YASHINDA 3-0, YAREJEA KILELENI


  MABINGWA watetezi, Manchester City wameibamiza  Brighton & Hove Albion mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
  Mabao ya Man City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya 53, Phil Foden dakika ya 65 nw Bernardo Silva dakika ya 82.
  Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 77 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi moja zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 32 na Brighton inabaki na pointi zake 40 za mechi 33 nafasi ya 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA 3-0, YAREJEA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top