• HABARI MPYA

  Sunday, April 24, 2022

  MESSI AIPA TAJI LA KWANZA PSG


  NYOTA Muargentina, Lionel Messi ameiwezesha Paris Saint-Germain kutwaa taji la 10 la rekodi ya Ligue 1, Ufatransa kwa kufunga kwenye sare ya 1-1 na Lens jana Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris.
  Hilo likiwa taji lake la kwanza anashinda klabu hiyo baada ya kujiunga nayo msimu huu akitokea Barcelona ambako alishinda mataji 10 ya La Liga na manne ya Champions Leagues – na amebakiza mkataba wa mwaka mmoja PSG.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AIPA TAJI LA KWANZA PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top