• HABARI MPYA

  Friday, April 08, 2022

  SERENGETI GIRLS MAZOEZINI BUKOBA KUIVAA BURUNDI


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, ‘Serengeti Girls’ wakiwa kwenye mazoezi Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Burundi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI GIRLS MAZOEZINI BUKOBA KUIVAA BURUNDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top