• HABARI MPYA

  Friday, April 15, 2022

  SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIBAMIZA ORLANDO PIRATES JUMAPILI


  JUU kabisa ni winga Mmalawi, Peter Banda katika mazoezi ya Simba SC kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam
  .

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIBAMIZA ORLANDO PIRATES JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top