• HABARI MPYA

  Wednesday, April 20, 2022

  TAIFA STARS YAPANGWA ALGERIA, UGANDA NA NIGER KUFUZU AFCON 2023

  TANZANIA imepangwa Kundi F pamoja na Algeria, Uganda na Niger kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Ivory Coast.


  MAKUNDI YOTE KUFUZU AFCON 2023
  Kundi A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius.
  Kundi B: Burkina Faso, Cape Verde, Togo, Eswatini.
  Kundi C: Cameroon, Kenya, Namibia, Burundi.
  Kundi D: Misri, Guinea, Malawi, Ethiopia.
  Kundi E: Ghana, Madagascar, Angola, Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).
  Kundi F: Algeria, Uganda, Niger, Tanzania.
  Kundi G: Mali, Kongo, Gambia, Sudan Kusini ,
  Kundi H: Ivory Coast (wenyeji), Zambia, Comoro, Lesotho.
  Kundi I: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Gabon, Mauritania, Sudan.
  Kundi J: Tunisia, Equatorial Guinea, Libya, Botswana.
  Kundi K: Morocco, Afrika Kusini, Zimbabwe, Liberia.
  Kundi L: Senegal, Benin, Msumbiji, Rwanda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YAPANGWA ALGERIA, UGANDA NA NIGER KUFUZU AFCON 2023 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top