• HABARI MPYA

  Friday, April 08, 2022

  MASHABIKI 60,000, VAR KUTUMIKA SIMBA NA ORLANDO DAR  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limekubali ombi la klabu ya Simba kuongoza mashabiki 60,000 katika mchezo wake wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
  Aidha, katika mchezo huo utakaofanyika Jumapili ya Aprili 17, mwaka huu kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, CAF pia imesema utakuwa teknolojia ya VAR itatumika kwa mara ya kwanza Tanzania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI 60,000, VAR KUTUMIKA SIMBA NA ORLANDO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top