• HABARI MPYA

  Tuesday, April 26, 2022

  SIMBA WAREJEA, HASIRA ZOTE KWA MTANI YANGA JUMAMOSI


  KIKOSI cha Simba kimerejea Dar es Salaam leo baada ya jana kutolewa na wenyeji, Orlando Pirates katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa penalti 4-3 Jijini Johannesburg, Afrika Kusini kufuatia sare ya jumla ya 1-1, kila timu ikishinda 1-0 nyumbani.
  Moja kwa moja Simba inaingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA WAREJEA, HASIRA ZOTE KWA MTANI YANGA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top