• HABARI MPYA

  Saturday, April 16, 2022

  SOUTHAMPTON YAICHAPA ARSENAL 1-0 ST MARY’S


  BAO pekee la beki Jan Bednarek dakika ya 44, limewapa wenyeji, Southampton ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. Mary's Stadium mjini Southampton, Hampshire.
  Kwa ushindi huo, Southampton wanafikisha pointi 39 katika mchezo wa 32 na kusogea nafasi ya 12, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 54 za mechi 31 sasa ikishukia nafasi ya sita na kuipisha Manchester United nafasi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOUTHAMPTON YAICHAPA ARSENAL 1-0 ST MARY’S Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top