• HABARI MPYA

    Friday, April 08, 2022

    MCHEZAJI NA KOCHA BORA WOTE SIMBA SC MACHI


    KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chota Chama ndiye mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Machi, mwaka huu msimu wa 2021-2022.


    Aidha, kocha wake, Mspaniola Pablo Franco Martin ameshinda tuzo ya kocha mwezi huo, wakati Meneja Bora wa Uwanja ni Gordon Nsajigwa wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZAJI NA KOCHA BORA WOTE SIMBA SC MACHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top