• HABARI MPYA

  Thursday, April 07, 2022

  BENZEMA APIGA HAT-TRICK REAL YAICHAPA CHELSEA 3-1


  TIMU ya Real Madrid imetanguliza mguu moja Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao yote ya Real Madrid yamefungwa na mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema dakika ya 21, 24 na 46, wakati la Chelsea limefungwa na Kai Havertz dakika ya 40.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA HAT-TRICK REAL YAICHAPA CHELSEA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top