• HABARI MPYA

  Friday, April 22, 2022

  SIMBA SC WALIVYOTUA SAUZI KUIVAA ORLANDO PIRATES JUMAPILI

  WACHEZAJI wa Simba SC baada ya kuwasili Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini leo kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Orlando Pirates Jumapili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOTUA SAUZI KUIVAA ORLANDO PIRATES JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top