• HABARI MPYA

  Saturday, April 09, 2022

  EVERTON YAICHAPA MAN UNITED 1-0 GOODISON PARK


  BAO pekee la Anthony Gordon dakika ya 27, limeipa Everton ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park Jijini Liverpool.
  Pamoja na ushindi huo, Everton inabaki nafasi ya 17, ikifikisha pointi 28 katika mchezo wa 30, inazidiwa pointi mbili na Leeds United ambayo pia imecheza mechi moja zaidi.
  Baada ya kichapo cha leo, Manchester United inabaki na pointi zake 51 za mechi 31 sasa nafasi ya saba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAICHAPA MAN UNITED 1-0 GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top