• HABARI MPYA

  Thursday, April 28, 2022

  KAYOKO KUCHEZESHA PAMBANO LA WATANI JUMAMOSI


  REFA Ramadhani Kayoko ndiye atakayepuliza kipyenga kwenye mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Kayoko atasaidiwa na Frank Kombe, wote wa Dar es Salaam na Mohamed Mkono wa Tanga.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAYOKO KUCHEZESHA PAMBANO LA WATANI JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top