• HABARI MPYA

    Saturday, April 02, 2022

    GEITA GOLD YAIPIGA MBEYA CITY 1-0 SOKOINE


    BAO la George Mpole Mwaigomole dakika ya 14, limewapa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
    Kwa ushindi huo, Mpole akiiadhibu timu yake ya zamani, Geita Gold inafikisha pointi 24 na kupanda nafasi ya sita, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake 25 katika nafasi ya tano baada ya timu zote kucheza mechi 19.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GEITA GOLD YAIPIGA MBEYA CITY 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top