• HABARI MPYA

  Wednesday, April 27, 2022

  DJUMA SHABANI HATARINI KUWAKOSA SIMBA JUMAMOSI


  BEKI hodari na tegemeo wa Yanga SC, Mkongo Djuma Shabani yuko shakani kuiwahi mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Simba Jumamosi Uwanja sa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Shabani aliumia kwenye mechi iliyopita dhidi ya Namungo wiki iliopita mwishoni mwa mchezo na kushindwa kuendelea nafasi yake ikichukuliwa na Dickson Job dakika ya 78, ingawa Yacouba Sogne pia ataendelea kukosekana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DJUMA SHABANI HATARINI KUWAKOSA SIMBA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top