• HABARI MPYA

  Tuesday, April 05, 2022

  MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KUIVAA YANGA KESHO


  WACHEZAJI wa Azam FC wakiwa mazoezini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC kesho Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KUIVAA YANGA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top