• HABARI MPYA

  Thursday, April 28, 2022

  BASHUNGWA MGENI RASMI MECHI YA WATANI, MANARA MWANACHAMA YANGA


  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Innocent Bashungwa ndiye atakuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.  Wakati huo huo, Msemaji wa Yanga, Haji Manara leo amekabidhiwa ya uanachama wa kidijitali ya klabu hiyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BASHUNGWA MGENI RASMI MECHI YA WATANI, MANARA MWANACHAMA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top