• HABARI MPYA

  Tuesday, August 03, 2021

  TBC WASAINI MKATABA WA SH BILIONI 3 NA TFF KWA AJILI YA KUTANGAZA MECHI ZA LIGI KUU REDIONI KWA MIAKA 10


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Bilioni 3 kutoka kwa Mratibu wa Miradi na Masoko Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Gabriel Nderumaki (kushoto) baada ya kusaini Mkataba wa haki za matangazo ya Radio ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, wenye thamani ya Sh. Bilioni 3 kwa miaka 10.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TBC WASAINI MKATABA WA SH BILIONI 3 NA TFF KWA AJILI YA KUTANGAZA MECHI ZA LIGI KUU REDIONI KWA MIAKA 10 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top