• HABARI MPYA

  Tuesday, August 03, 2021

  RASMI YANGA SC YAMREJESHA HERITIER MAKAMBO MISIMU MIWILI TANGU IMUUZE KLABU YA HOROYA YA GUINEA


  KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji Mkongo, Heritier Ma Olongi Makambo anayerejea nyumbani baada ya misimu miwili tangu auzwe Horoya AC ya Guinea.
  Makambo anakuwa mchezaji wa tatu mpya kutambulishwa kuelekea msimu ujao baada ya washambuliaji wengine wawili, mzawa Yussuf Athumani kutoka Biashara United ya Mara na Mkongo, Fiston Kalala Mayele kutoka AS Vita ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasian ya Kongo (DRC). GONGA HAPA KUTAZAMA VIDEO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI YANGA SC YAMREJESHA HERITIER MAKAMBO MISIMU MIWILI TANGU IMUUZE KLABU YA HOROYA YA GUINEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top