• HABARI MPYA

  Wednesday, August 04, 2021

  HISPANIA NA BRAZIL ZATINGA FAINALI YA SOKA OLIMPIKI

  HISPANIA itamenyana na Brazil kuwania Medali ya Dhahabu ya Olimpiki katika soka Jumamosi, baada ya bao la dakika za nyongeza la Marco Asensio kuwapa ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Japan.
  Brazil kwa upande wao waliwatoa wapinzani wao wa Amerika, Mexico kwa penalti 4-1 kufuatia sare ya 0-0.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HISPANIA NA BRAZIL ZATINGA FAINALI YA SOKA OLIMPIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top