• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 01, 2020

  KIPA NAMBA MOJA WA BURUNDI, JONATHAN NAHIMANA AJIUNGA NA NAMUNGO FC BAADA YA KUACHANA NA KMC

  Kipa wa kimataifa wa Burundi, Jonathan Nahimana akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, akitokea KMC ya Kinondoni 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIPA NAMBA MOJA WA BURUNDI, JONATHAN NAHIMANA AJIUNGA NA NAMUNGO FC BAADA YA KUACHANA NA KMC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top