• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 09, 2020

  LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 4-1

  Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 10 kwa penalti na 83 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa marudano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern Munch yalifungwa na Ivan Perisic dakika ya 24 na Corentin Tolisso dakika ya 76, wakati bao peke la Chelsea lilifungwa na  Tammy Abraham dakika ya 44 na sasa Bavarian wanasonga mbele kwa ushnd wa jumla wa 7-1 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza London na watamenyana na Barcelona katika Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top