• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 17, 2020

  YANGA SC YASAJILI WAKALI WAWILI WA AS VITA, KIUNGO TONOMBE MUKOKO NA WINGA TUISILA KISINDA

  Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said (kulia) ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC akiwa na kiungo wa ulinzi, Mukoko Tonombe baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili leo kujiunga na klabu hiyo leo kwao, Jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akitokea AS Vita ya huko 
  Mhandisi Hersi Said (katikati) akiwa na Mukoko Tonombe (kushoto) na winga wa kulia, Tuisila Kisinda (kulia) ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga leo kutoka AS Vita ya Kinshasa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YASAJILI WAKALI WAWILI WA AS VITA, KIUNGO TONOMBE MUKOKO NA WINGA TUISILA KISINDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top