• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 29, 2020

  TWAHA KIDUKU AMSHINDA DULLAH MBABE KWA POINTI ZA MAJAJI WOTE

  Bondia Abdallah Paz 'Dullah Mbabe' (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake Twaha Kiduku wa Morogoro katika pambano la uzito wa Super Middle raundi 10 kuwania ubingwa wa Taifa (TPBC) usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Hata hivyo Kiduku ameshinda kwa pointi za majaji wote, ( 93-97, 91-99 na 93-97)


  Twaha Kiduku akienda chini baada ya kukutana na ngumi ya Dullah Mbabe' 
  Refa Anthony Rutta akimuinua mkono bondia Ibrahim Classic 'Mawe' kumangaza mshnd kwa pointi dhidi ya Nassib Ramadhani katika pambano la raundi 10 kuwania ubingwa wa Taifa (TPBC) uzito wa Feather.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TWAHA KIDUKU AMSHINDA DULLAH MBABE KWA POINTI ZA MAJAJI WOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top