Romelu Lukaku na Lautaro Martinez wakishangilia pamoja baada ya kila mmoja kufunga mabao mawili katika ushindi wa 5-0 wa Inter Milan dhidi ya Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya UEFA Europa League usiku wa Jumatatu Uwanja wa Merkur Spiel-Arena, Jijini Dusseldorf nchini Ujerumani. Martinez alifunga dakika za 19 na 74 na Lukaku dakika za 78 na 83, wakati bao lingine limefungwa na Danilo D'Ambrosio dakika ya 64 na sasa Inter Milan itakutana na Sevilla katika Fainali Ijumaa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment