• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 19, 2020

  HII NDIYO KAZI ANAYOIFANYA KIJANA HIMID MAO MKAMI KWENYE LIGI KUU YA MISRI WATU WANAKAA TU

  KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami 'Ninja' (kushoto) anayechezea klabu ya ENPPI akimtoka kiungo wa Smouha SC, Mmisri Ahmed Abdul Sattar Homos katika mchezo wa Ligi Kuu ya Misri juzi Uwanja wa Petrosport Jijini Cairo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HII NDIYO KAZI ANAYOIFANYA KIJANA HIMID MAO MKAMI KWENYE LIGI KUU YA MISRI WATU WANAKAA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top