• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 29, 2020

  RALLY BWALYA NA MAFUNDI WENGINE MAZOEZINI SIMBA SC LEO IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO FC KESHO ARUSHA

  Kiungo mpya wa Simba SC, Mzambia Rally Bwalya akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii kesho dhidi ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha
  Beki Shomari Kapombe akipasua na mpira kwenye mazoezi ya leo ya Simba  
  Charles Ilamfya akiwakokota wachezaji wenzake mazoezini leo Arusha 
  Beki Kennedy Wilson akimiliki mpira katikati ya viungo Clatous Chama (kushoto) na Jonas Mude kushoto 
  Nahodha na mshambuliaji John Bocco akiudhibiti mpira leo mazoezini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RALLY BWALYA NA MAFUNDI WENGINE MAZOEZINI SIMBA SC LEO IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO FC KESHO ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top