• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 16, 2020

  SIMBA SC WAENDELEA KUTIKISA NCHI KWA USAJILI WA KISHINDO, WAMTAMBULISHA MKONGO CHRIS MUGALU KUTOKA DYNAMOS

  MSHAMBULIAJI Chris Mugalu, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amejiunga na Simba SC ya Dar es Salaam kutoka klabu ya Lusaka Dynamos ya Zambia.‬
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAENDELEA KUTIKISA NCHI KWA USAJILI WA KISHINDO, WAMTAMBULISHA MKONGO CHRIS MUGALU KUTOKA DYNAMOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top