• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 25, 2020

  AZAM FC YAWAONGEZEA MIKATABA MAKOCHA WAKE WOTE WATATU KILA MMOJA APEWA MWAKA MMOJA ZAIDI KUENDELEA NA KAZI CHAMAZI

  Kocha Mkuu wa Azam FC, Mromania Aristica Cioaba, akisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea na kazi katika klabu hiyo mbele ya Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat
  Kocha Msaidizi, Mrundi Bahati Vivier akisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea na kazi katika klabu hiyo mbele ya Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat
  Kocha wa wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Costel Birsan akisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea na kazi katika klabu hiyo mbele ya Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC YAWAONGEZEA MIKATABA MAKOCHA WAKE WOTE WATATU KILA MMOJA APEWA MWAKA MMOJA ZAIDI KUENDELEA NA KAZI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top