• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 29, 2020

  SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA

  SERIKALI imezitoa hofu klabu za soka Tanzania kuhusu wachezaji na makocha wa kigeni iliyowaajiri kwamba zinaweza kuwatuma wakati huu Ligi Kuu ya Tanzania Bara haijaanza, lakini tu wafuate taratibu za kuwaombea vibali.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top