• HABARI MPYA

  Wednesday, August 26, 2020

  CARLINHOS AANZA MAZOEZI YANGA SC BAADA YA KUSAINI MKATABA

  KIUNGO Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo 'Carlinhos' leo ameanza mazoezi baada ya jana kusaini mkataba wa kujiunga na Yanga SC, saa chache tu tangu awasili Jijini Dar es Salaam kutoka kwao, Angola ambako alikuwa anachezea klabu ya Interclube au Inter ya Luanda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CARLINHOS AANZA MAZOEZI YANGA SC BAADA YA KUSAINI MKATABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top