Angel Di Maria (kushoto) akishangilia na Neymar baada ya kufunga bao moja na kuseti mawili katika ushindi wa 3-0 wa Paris Saint-Germain dhidi ya Rasen Ballsport Leipzig ya Ujerumani kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno. Di Maria alifunga bao la pili dakika ya 42 baada ya kumsetia Marquinhos kufunga la kwanza dakika ya 13 kabla ya kumpasia Juan Bernat kufunga la tatu dakika ya 56 na baada ya kuitoa RB Leipzig, sasa PSG itakutana na mshindi kati ya Olympique Lyon ya Ufaransa pia na Bayern Munich ya Ujerumani katika fainali Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mich. Man’s ‘Employment Ended’ with American Heart Association the Same
Month He Killed Wife and 6 Children in Murder-Suicide
-
“As an organization with professional staff who are dedicated to helping
others, we are devastated by the news out of Grand Haven, and our thoughts
are wit...
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment