• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 16, 2020

  MBARAKA YUSSUF ABEID AREJEA KAGERA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI BAADA YA MAMBO KUMUENDEA KOMBA AZAM FC

  Mshambuliaji Mbaraka Yussuf Abeid amerejea Kagera Sugar ya Bukoba kwa mkataba wa miaka miwili, ikiwa ni misimu miwili tangu aondoke Kaitaba kufuatia kusajiliwa na Azam FC ya Dar es alaam ambako hata hivyo ameshindwa kung'ara  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBARAKA YUSSUF ABEID AREJEA KAGERA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI BAADA YA MAMBO KUMUENDEA KOMBA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top