• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 21, 2020

  TFF YAZITAKA KLABU ZOTE NCHINI KUWASILISHA NAKALA ZA MIKATABA YA WACHEZAJI WOTE INAYOWASAJILI

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezitaka klabu zote nchini kuwasilisha nakala za mikataba ya wachezaji inayowasajili na kwamba klabu ambayo haitafanya hivyo haitapewa leseni ya kumtumia mchezaji husika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TFF YAZITAKA KLABU ZOTE NCHINI KUWASILISHA NAKALA ZA MIKATABA YA WACHEZAJI WOTE INAYOWASAJILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top