• HABARI MPYA

  Thursday, August 20, 2020

  BAADA YA NDANDA FC KUSHUKA DARAJA, KIUNGO OMARY KHAMIS AHAMIA IHEFU SC ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA

  Kiungo Omary Khamis akikabidhiwa jezi ya timu ya Ihefu SC ya Mbarali mkoani Mbeya iliyopanda Ligi Kuu kufuatia kusaini mkataba wa kujiunga nayo akitokea Ndanda FC ya Mtwara iliyoshuka daraja 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAADA YA NDANDA FC KUSHUKA DARAJA, KIUNGO OMARY KHAMIS AHAMIA IHEFU SC ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top