• HABARI MPYA

  Monday, August 24, 2020

  KIUNGO MZAMBIA, CLATOUS CHAMA ASHINDA TUZO NYINGINE SIMBA SC KATIKA HAFLA MAALUM

  Kiungo Mzambia, Clatous Chota Chama akikabidhiwa tuzo ya Mashabiki usiku wa jana katika hafla ya chakula cha usiku ilioyohusisha vikosi vya ya wanaume na wanawake vya Simba SC vikijumuika na wageni wao Vital'O ya Burundi 
  Beki Shomari Kapombe akikabidhiwa tuzo maalumu katika usiku ambao wachezaji wa Simba walipewa tuzo mbele ya mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso.
  Mwenyekiti wa klabu, Mwina Kaduguda na baadhi ya wajumbe wa bodi wakipokea tuzo ya Bodi ya Wakurugenzi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIUNGO MZAMBIA, CLATOUS CHAMA ASHINDA TUZO NYINGINE SIMBA SC KATIKA HAFLA MAALUM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top