• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 27, 2020

  KIINGILIO CHA CHINI KABISA MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA NA NAMUNGO FC NI SH 10,000 JUMAPILI ARUSHA

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi wametaja viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii bana ya Simba SC na Namungo FC utakaofanyika Jumapili Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha na kiingilio cha chini ni Sh. 10,000 kwa jukwaa la mzunguko.  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIINGILIO CHA CHINI KABISA MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA NA NAMUNGO FC NI SH 10,000 JUMAPILI ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top