• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 21, 2020

  MSHAMBULIAJI MGHANA, MICHAEL SARPONG ATUA RASMI DAR KUJIUNGA NA VIGOGO WA NCHI, YANGA SC

  MSHAMBULIAJI Mghana, Michael Sarpong tayari yupo Jijini Dar es Salam kwa ajili ya kusaini mkataba wa kujiunga na vigogo wa Tanzania, Yanga SC akitokea klabu ya Rayon Sport ya Rwanda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MGHANA, MICHAEL SARPONG ATUA RASMI DAR KUJIUNGA NA VIGOGO WA NCHI, YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top