• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 31, 2020

  YACOUBA SOGNE AKABIDHIWA JEZI NAMBA 10 BAADA YA KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE YANGA SC

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwa ameshka jezi namba 10 baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na Yanga SC Asante Kotoko ya Ghana  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YACOUBA SOGNE AKABIDHIWA JEZI NAMBA 10 BAADA YA KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top