• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 20, 2020

  MHANDISI HERSI SAID ALIVYOPOKEWA LEO UWANJA WA NDEGE BAADA YA KUWASILI NA WACHEZAJI WAPYA, MUKOKO NA KISINDA

  Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wamembeba  Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said kwenye kiti cha Kifalme baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa na wachezaji wawili, kiungo Tonombe Mukoko na winga Tusila Kisinda wa AS Vita ya huko ambao wote wamejiunga na Yanga SC
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MHANDISI HERSI SAID ALIVYOPOKEWA LEO UWANJA WA NDEGE BAADA YA KUWASILI NA WACHEZAJI WAPYA, MUKOKO NA KISINDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top